Rais wa Tanzania Samia Suluhu ametunukiwa Tuzo maalum kwa kutambua uongozi wake uliotukuka na heshima ya kuwa Rais wa kwanza Mwanamke Tanzania, Tuzo hiyo imetolewa na Mwanzilishi wa @womeninmanagementafrica Naike Moshi @naikelli na imepokelewa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Ndalichako kwa niaba yake. “Rais anashukuru sana kwa kutambua kwenu kuwa ameanza kazi yake vizuri na namna mnavyomtia moyo, unavyomtambua Mtu inaonesha upo pamoja nae”———Ndalichako